19 April 2012

Kibwagizo cha leo kimekaa vipi? kisikilize

Kibwagizo cha leo kimekaaje kisikilize then utoe maoni yako juu ya utakalolisikia mpenzi msomaji wa blog ya jamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hivi maisha ni nini jamani!

Jana nikiwa na baadhi ya jamaa zangu tukijaribuu kuangalia jinsi ya kufanya ili uweza kutoka kimaisha, Kwa kweli tulizungumza mambo mbalimbali ya kujenga maisha yetu ya baadae,
Mpenzi msomaji wangu leo nataka nikupatie moja ya yale amabayo tulikuwa tukiyajadilii pamoja na kuyatafutia njia zake, Mazungumzo yet yalichukua takribani mda wa masaa mawili na nusu kila mtu akitoa la kwake alilonalo moyoni mwake,

Msomaji wangu nisikulaze huko bali moja kwa moja nikuambie kuwa kitu ambacho kilionekana kuleta mjadala mrefu na hatimaye sote tukawa kwenye usawa ni , je uwongo waweza kumsaidia mtu kushinda kitu fulani maishani mwake au ?

Msomaji wangu ni kwamba  tulikuwa tunajaribu kuongea kwa mifano iliyo hai mingi, mmoja ambaye alionekana kutetea hoja hii tanagu mwanzo Aliweka wazi kuwa yeye tangu akiwa darasa la saba akiota sana na kupenda sana kuwa mwandishi wa habari japo kuwa hakupenda kuwambia wazazi wao,  Alipoendelea na masomo na hatimaye akamaliza kidato cha nne , akachanguliwa na kujiunga na kidato cha tano katika sekondali ya Uyui, Alipomaliza kidato cha sita alistahili kwenda chuo cha Ualimu, Lakini anasema wazazi wake walipokuwa wanajiandaa kumpeleka chuoni akawa amevunja ukimya na kuwambia kuwa Ualimu sio ndoto yangu, akasema ndoto yanaga ya mda mrefu ni Uhandishi wa habari, Wazazi wakatupilia madai yake ya kumtaka awe mwandishi, Anasema kuwa akalia pamoja na kuomba lakini huku wazazi wakiendelea kukataa, Walipokataa mawazo yake akaona kuwa sasa sina jinsi kilichopo ni kutafuta uwongo mtakatifu , huku akisema kkuwa endapo mambo yatakuwa yameharibika heri kujilaumu kuliko kuwalaumu wazazi wangu,

Akwawambia kuwa mama, na baba tayari nimefuta mawazo niliyokuwa nayo na kuwambia kuwa sasa niiko tayari kujiunga na chuo cha ualimu, Lakini kijana huyo alikuwa ameshajua fika kuwa chuoni hapa kuna pia faculty ya uhandishi alipowambia wakasema...............................................itaendelea mpenzi msomjaji wangu

Maisha bora kwa kila mkoa hapa nchini

Haya ndiyo maisha bora kwa kila mkoa hapa nchini, barabara za changaraw hatujambo kweli nimamini haya ndo maisha boa baana,
Moja ya barabara kuu inayotoka wilyani karagwe kuelekea makao makuu ya mkoa wa kagera
                          URAFIKI - AMIZADEHii ndo amizade yenyewe sasa kama hujui

Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo

Ziwa victoria mkoani kagera ni moja ya kitu ambacho kinaeendelea kuupa sifa kubwa mkoa wa kagera, Licha ya ya kuwa choombo mojawapo ya kuwafanya wakaazi wa mkoa wa kagera kujipatia ajira pamoja na kitoweo cha kila siku, Aidha watu kutoka nje ya nchi hupenda kuja mkoani kagera kwa ajil ya kuanalia ziwa hili zuri sana lililozungukwa na magugu maji, 

Pia ziwa vitoria wakati wa jioni huonekana like this
Pembeni mwa ziwa victoria kunavutia sana cos kuna milima iliyojaa kijani kibichi
Maoneo ya hini mwa mlima huu pia hufaa kwa kilimo cha umwagiliaji kutokana na madai ya wataalammu wa kilimo lakini pia kwa kuangalia kwa macho ya kawaida, Lakini cha kushangaza ardhi ya hapa inaendelea kujirutubisha yenyewe.

Wakati wa jioni Karagwe kunaonekana hivi.


Ninapokuwa wilayani karagwe huwa navutiwa sana na mwonekano wake wakati wa jioni,  . My program site is in Kayanga town, in the Karagwe district, of the Kagera region of Tanzania. It is one of the most remote regions in Tanzania, and we are living in a rural community in the mountains of the Northwest. We are situated between Rwanda to the West, Lake Victoria to the East, and Uganda to the North. 

            Kayanga is beautiful. It is higher in elevation other areas, so it is greener and a little bit cooler. From the house, you can see the hillside leading down into a green valley and in the distance a green river. There are rolling mountains all around us, red dirt paths, flowering trees, and welcoming people. There are not manypeople here—foreigners, or white people—because Kayanga is pretty remote, 

Hii no moja ya pcha inayoonesha hali halisi ya maeneo ya karagwe wakati wa jioni,  Nyumba pembeni ni Gest inayoitwa Misha ya mjini kayanga karage, Giza ndo usiseme
Ukiangalia kwa umakini wilaya ya karagwe mkoani kagera utaweza gundua kuwa makazi ya watu walio wengi yamezungukwa na milima pamoja na mabonde, Lakini hali hii hufanya waakazi wengi kuwa bali na mashamba yao , yaanii utakuta mtu amejenga mbali na shamba lake kiasi cha km57.02, Na hii pengine husababishwa na maeneo mengi kuwa makazi ya maji,       Hii ni sehemu moja ya mji wa Kayanga wilayani karagwe
                                                             Hapa unaona nyumba zilivyo juu ya milima huku mashamba yakibakia chni kabisa ya mabonde,  Na ukiangalia kwa anga utaweza kuona mawingu mazuri kabisa yakimulika chii ya mji mdogo wa kayanga

18 April 2012

Kagera ni moja ya mikoa inayoendelea kujaliwa fulsa za kitalii

Tanzania ni moja ya nchi inayoendelea kujaliwa mali asili nyingi za kitalii, wazungu waliowengi hupenda kutembele nchi ya Tanzania kwa ajili ya kujionea asilia ya mambo mbalimbali kama milima, mabonde, maziwa pamoja na kuangalia maisha ya watanzania jinsi wanavyoishi, Na ndani ya Tanzania kuna baadhi ya mikoa ambayo ilijaliwa kuwa na mambo mengi yanayopendwa kuzuliwa na wenzetu, mfano mkoa wa Kagera ni mkoa ambao ukiuangalia kwa asili yake its xo amazing, Lakini tatizo watanzania hili hatuliangalii kama ni fulsa nzuri za kuweza kutumia     Huu ni mmoja ya (sijui niuite milma sijui niyaite mawe), lakini kama unavyoweza kuona wazungu walivyopouz wakifurahia hewa nzuri ya kagera, Mungu ibariki Kagera ,Mungu ibariki Tanzania