Ukiangalia kwa umakini wilaya ya karagwe mkoani kagera utaweza gundua kuwa makazi ya watu walio wengi yamezungukwa na milima pamoja na mabonde, Lakini hali hii hufanya waakazi wengi kuwa bali na mashamba yao , yaanii utakuta mtu amejenga mbali na shamba lake kiasi cha km57.02, Na hii pengine husababishwa na maeneo mengi kuwa makazi ya maji, Hii ni sehemu moja ya mji wa Kayanga wilayani karagwe
Hapa unaona nyumba zilivyo juu ya milima huku mashamba yakibakia chni kabisa ya mabonde, Na ukiangalia kwa anga utaweza kuona mawingu mazuri kabisa yakimulika chii ya mji mdogo wa kayanga
Hapa unaona nyumba zilivyo juu ya milima huku mashamba yakibakia chni kabisa ya mabonde, Na ukiangalia kwa anga utaweza kuona mawingu mazuri kabisa yakimulika chii ya mji mdogo wa kayanga
No comments:
Post a Comment