19 April 2012
Kibwagizo cha leo kimekaa vipi? kisikilize
Kibwagizo cha leo kimekaaje kisikilize then utoe maoni yako juu ya utakalolisikia mpenzi msomaji wa blog ya jamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hivi maisha ni nini jamani!
Jana nikiwa na baadhi ya jamaa zangu tukijaribuu kuangalia jinsi ya kufanya ili uweza kutoka kimaisha, Kwa kweli tulizungumza mambo mbalimbali ya kujenga maisha yetu ya baadae,
Mpenzi msomaji wangu leo nataka nikupatie moja ya yale amabayo tulikuwa tukiyajadilii pamoja na kuyatafutia njia zake, Mazungumzo yet yalichukua takribani mda wa masaa mawili na nusu kila mtu akitoa la kwake alilonalo moyoni mwake,
Msomaji wangu nisikulaze huko bali moja kwa moja nikuambie kuwa kitu ambacho kilionekana kuleta mjadala mrefu na hatimaye sote tukawa kwenye usawa ni , je uwongo waweza kumsaidia mtu kushinda kitu fulani maishani mwake au ?
Msomaji wangu ni kwamba tulikuwa tunajaribu kuongea kwa mifano iliyo hai mingi, mmoja ambaye alionekana kutetea hoja hii tanagu mwanzo Aliweka wazi kuwa yeye tangu akiwa darasa la saba akiota sana na kupenda sana kuwa mwandishi wa habari japo kuwa hakupenda kuwambia wazazi wao, Alipoendelea na masomo na hatimaye akamaliza kidato cha nne , akachanguliwa na kujiunga na kidato cha tano katika sekondali ya Uyui, Alipomaliza kidato cha sita alistahili kwenda chuo cha Ualimu, Lakini anasema wazazi wake walipokuwa wanajiandaa kumpeleka chuoni akawa amevunja ukimya na kuwambia kuwa Ualimu sio ndoto yangu, akasema ndoto yanaga ya mda mrefu ni Uhandishi wa habari, Wazazi wakatupilia madai yake ya kumtaka awe mwandishi, Anasema kuwa akalia pamoja na kuomba lakini huku wazazi wakiendelea kukataa, Walipokataa mawazo yake akaona kuwa sasa sina jinsi kilichopo ni kutafuta uwongo mtakatifu , huku akisema kkuwa endapo mambo yatakuwa yameharibika heri kujilaumu kuliko kuwalaumu wazazi wangu,
Akwawambia kuwa mama, na baba tayari nimefuta mawazo niliyokuwa nayo na kuwambia kuwa sasa niiko tayari kujiunga na chuo cha ualimu, Lakini kijana huyo alikuwa ameshajua fika kuwa chuoni hapa kuna pia faculty ya uhandishi alipowambia wakasema...............................................itaendelea mpenzi msomjaji wangu

Maisha bora kwa kila mkoa hapa nchini
Haya ndiyo maisha bora kwa kila mkoa hapa nchini, barabara za changaraw hatujambo kweli nimamini haya ndo maisha boa baana,
Moja ya barabara kuu inayotoka wilyani karagwe kuelekea makao makuu ya mkoa wa kagera
Hii ndo amizade yenyewe sasa kama hujui
Moja ya barabara kuu inayotoka wilyani karagwe kuelekea makao makuu ya mkoa wa kagera
Hii ndo amizade yenyewe sasa kama hujui
Ziwa Victoria Fahari ya mkoa wa Kagera, tutumia fulsa zilizomo
Ziwa victoria mkoani kagera ni moja ya kitu ambacho kinaeendelea kuupa sifa kubwa mkoa wa kagera, Licha ya ya kuwa choombo mojawapo ya kuwafanya wakaazi wa mkoa wa kagera kujipatia ajira pamoja na kitoweo cha kila siku, Aidha watu kutoka nje ya nchi hupenda kuja mkoani kagera kwa ajil ya kuanalia ziwa hili zuri sana lililozungukwa na magugu maji,
Pia ziwa vitoria wakati wa jioni huonekana like this
Pembeni mwa ziwa victoria kunavutia sana cos kuna milima iliyojaa kijani kibichi
Maoneo ya hini mwa mlima huu pia hufaa kwa kilimo cha umwagiliaji kutokana na madai ya wataalammu wa kilimo lakini pia kwa kuangalia kwa macho ya kawaida, Lakini cha kushangaza ardhi ya hapa inaendelea kujirutubisha yenyewe.
Wakati wa jioni Karagwe kunaonekana hivi.
Ninapokuwa wilayani karagwe huwa navutiwa sana na mwonekano wake wakati wa jioni, . My program site is in Kayanga town, in the Karagwe district, of the Kagera region of Tanzania. It is one of the most remote regions in Tanzania, and we are living in a rural community in the mountains of the Northwest. We are situated between Rwanda to the West, Lake Victoria to the East, and Uganda to the North.
Kayanga is beautiful. It is higher in elevation other areas, so it is greener and a little bit cooler. From the house, you can see the hillside leading down into a green valley and in the distance a green river. There are rolling mountains all around us, red dirt paths, flowering trees, and welcoming people. There are not manypeople here—foreigners, or white people—because Kayanga is pretty remote,
Hii no moja ya pcha inayoonesha hali halisi ya maeneo ya karagwe wakati wa jioni, Nyumba pembeni ni Gest inayoitwa Misha ya mjini kayanga karage, Giza ndo usiseme
Ukiangalia kwa umakini wilaya ya karagwe mkoani kagera utaweza gundua kuwa makazi ya watu walio wengi yamezungukwa na milima pamoja na mabonde, Lakini hali hii hufanya waakazi wengi kuwa bali na mashamba yao , yaanii utakuta mtu amejenga mbali na shamba lake kiasi cha km57.02, Na hii pengine husababishwa na maeneo mengi kuwa makazi ya maji, Hii ni sehemu moja ya mji wa Kayanga wilayani karagwe
Hapa unaona nyumba zilivyo juu ya milima huku mashamba yakibakia chni kabisa ya mabonde, Na ukiangalia kwa anga utaweza kuona mawingu mazuri kabisa yakimulika chii ya mji mdogo wa kayanga
Hapa unaona nyumba zilivyo juu ya milima huku mashamba yakibakia chni kabisa ya mabonde, Na ukiangalia kwa anga utaweza kuona mawingu mazuri kabisa yakimulika chii ya mji mdogo wa kayanga
18 April 2012
Kagera ni moja ya mikoa inayoendelea kujaliwa fulsa za kitalii
Tanzania ni moja ya nchi inayoendelea kujaliwa mali asili nyingi za kitalii, wazungu waliowengi hupenda kutembele nchi ya Tanzania kwa ajili ya kujionea asilia ya mambo mbalimbali kama milima, mabonde, maziwa pamoja na kuangalia maisha ya watanzania jinsi wanavyoishi, Na ndani ya Tanzania kuna baadhi ya mikoa ambayo ilijaliwa kuwa na mambo mengi yanayopendwa kuzuliwa na wenzetu, mfano mkoa wa Kagera ni mkoa ambao ukiuangalia kwa asili yake its xo amazing, Lakini tatizo watanzania hili hatuliangalii kama ni fulsa nzuri za kuweza kutumia Huu ni mmoja ya (sijui niuite milma sijui niyaite mawe), lakini kama unavyoweza kuona wazungu walivyopouz wakifurahia hewa nzuri ya kagera, Mungu ibariki Kagera ,Mungu ibariki Tanzania
15 April 2012
USIOMBE IKAKUKUTA HII
MWANAMKE AFARIKI DUNIA BAADA YA KUKANYAGWA NA TEMBO!!
Mkazi wa kijiji cha Ibebu kata ya Mwangudo wilayani Meatu Mkoani Simiyu nchini Tanzania Ibese Doto (40) amefariki dunia baada ya kukanyagwa na Tembo akiwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na ndege na wanyama.
Kaimu kamanda wa polisi Mkoani Shinyanga amewaambia waandishi wa habari kuwa marehemu huyo akiwa shambani kwake mara ghafla alitokea Tembo huyo na kuanza kumshambulia na baadaye kumkanyaga hadi kuuuwa.
Kaimu kamanda huyo amesema kundi kubwa la Tembo limevamia katika kitongoji hicho likitokea kwenye hifadhi ya akiba ya pori la Maswa hali aliyodai inahatarisha maisha ya wananchi.
Amesema jeshi la polisi mkoani humo bado linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo na namna gann ya kuweza kakabiliana kundi hilo kubwa la Tembo waliovamia katika maeneo hayo na hivyo kuwataka wananchi kujihadhari nao.
TUJIULIZE WENYEWE KWANZA
MASWALI YA KUJIULIZA WEWE MWENYEWE BINAFSI
Muda mwingi huwa tunapenda kuwauliza watu wengine maswali.Lakini mimi nitakuwa nakuletea maswalimatano yakujiuliza wewe mwenyewe binafsi.
1.Wewe ni nani?2.Unajipenda?kama ndio kwa nini kama sio kwa nini?
3.Ni vitu gani muhimu katika maisha yako?
4.Ni mafanikio gani unayojivunia katika maisha yako kwa sasa?
5.Nini lengo lako duniani?kwa nini upo duniani?
Kwa leo maswali matano ni hayo na nitakuwa nakuwekea mara kwa mara.Sio lazima unijibu mimi,jijibu wewe mwenyewe ila unaweza kushare nami kunifahamisha kama umeguswa.
NOTE:Kama ni mtu wa kuchukua mambo kirahisi bila kufikiri kwa kina unaweza kuhisi ni maswali yasiyo na maana.Ila ni maswali makubwa sana unayotakiwa kujiuliza.
KANUUMBA UMEACHA SIMANZI KUMBWA KWA WATANZANIA
TASWIRA MBALI MBALI ZA KUAGWA MAREHEMU STEVEN KANUMBA
MPANGO WA KITUO CHA REDIO CHA FADECO FM KUWABAINI WALEMAVU ZAANZA KUZAA MATUNDA
Siku chache baada ya redio fadeco na jopo la utafiti kuwasilisha taarifa ya walemavu waliobainiwa vijijini na changamoto wanazokabiliana nazo waziri wa afya na ustawi wa jamii Haji Husein Mponda amewahasa walemavu wote nchini kushiriki katika mchakato wa kutoa maoni ya kuandikwa kwa katiba mpya. Mh Haji amesema kuwa mchakato wa maoni ya kuandikwa kwa katiba mya unawahusisha watanzania wote pasipo kujali dini, kabila na uwezo wa mtu mambo ambayo yanawafanya watanzania waliowengi kutoshiriki katika kutoa maamuzi katika shughuli mbalimbali za kijamii. Ameongeza kuwa walemavu hawana tofauti na watu wengine waokwenda kutoa maoni hivyo kusisitiza kuwa ni jukumu na nafasi ya kila mtu kushiriki kikamilifu. Zoezi hili la redio fadeco kuwabaini walemavu wilayani karagwe limefanikiwa baada ya shirika la CCBRT kutangaza kuwatibu akina mamma wanaosumbuliwa na fistula bila gharama yoyote na mdomo wazi kwa watoto wadogo maana ya chini ya miaka mitano. Pia wadau mbalimbali wanaotetea haki za wanyonge na kupiga vita vitendo vya unyanyasaji wamejitokeza kuwasaidia walemavu kwa kile kitakachowezekana kusaidia. Zoezi hili linatazamiwa kufanyika mkoa mzima wa kagera kwa kuanza na wilaya mojamoja ambapo maandalizi yatakapokamilika taarifa zaidi zitatolewa na chombo hiki.
Subscribe to:
Posts (Atom)